Wakati mapambani dhidi ya madawa ya kulevya, awamu ya pili yakiendelea, hivi punde mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mh. Paul Makonda, amewataja, Yusuf Manji, Freeman Mbowe, Mch .Dr, Josephat Gwajima na wengine zaidi ya sitini, wanashukiwa kuwa ndio wauzaji wa madawa ya kulevya hapa nchini, kwa taarifa zaidi endelea kutembelea Mjomba Jax Blog.
Yusuf Manji
Mch. Josephat Gwajima
Yusuf Manji
Mch. Josephat Gwajima
Mh.Freeman Mbowe



No comments:
Post a Comment